Wizara ya afya yanunua dozi milioni 2.34 za chanjo ya BCG

  • | Citizen TV
    120 views

    Wizara ya afya imewahakikishia wakenya kuwa serikali inafanya kazi usiku na mchana kurejesha upatikanaji wa chanjo ya BCG, ambayo imekosekana kwa muda sasa.