Uwanja wa Afraha, Nakuru wakwama

  • | Citizen TV
    335 views

    Mwezi wa Aprili mwaka 2021 , uwanja wa afraha jijini Nakuru ulifungwa ili kukarabatiwa na kuipa sura mpya ya kimataifa. Uwanja huu ulitarajiwa kukamilika mwaka 2022 mwezi wa sita kulingana na mkataba kati ya mwanakandarasi na serikali ya kaunit ya Nakuru. Lakini mwanakandarasi aliondoka mwezi wa tano mwaka jana na sasa uwanja huo umesalia mahame.