Conrad Nyabuto anadaiwa kuuawa na mpenziwe wa kike

  • | Citizen TV
    2,820 views

    Familia moja hapa jijini Nairobi inalilia haki baada ya mwanawao kudaiwa kuuawa kwa kudungwa kisu mara 27 na mpenziwe wa kike. Familia ya Conrad Nyabuto Nyangau inadai kuwa kumekuwa na njama ya kuhitalifiana na kesi.