Maalim afukuzwa chama cha Wiper

  • | KBC Video
    418 views

    Mbunge wa Daadab Farah Maalim ameondolewa kwenye chama cha Wiper kufuatia matamshi aliyoyatoa kwenye mkutano wa hadhara katika kaunti ya Uasin Gishu. Tangazo hilo lilitolewa na kiongozi wa chama hicho Kalonzo Musyoka wakati wa mkutano na wanahabari ambapo alisema matamshi yake si ya heshima kwa baadhi ya Wakenya. Hata hivyo, Kalonzo hakufichua ikiwa chama hicho kimemwandikia spika wa Bunge la Kitaifa kuwasilisha uamuzi wao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive