Kesi ya Baby Pendo yaahirishwa hadi Januari 29

  • | KBC Video
    84 views

    Maafisa 12 wa polisi wanatarajiwa kufika katika mahakama kuu ya Milimani siku ya Jumatano kwa ajili ya kesi ya mtoto Samantha Pendo aliyeuawa wakati wa maandamano ya kuipinga serikali katika kaunti ya Kisumu mwaka 2017 lakini wakakosa kufanya hivyo tena. Kesi hiyo iliahirishwa kutokana na kuhamishwa kwa Jaji Lilian Mutende ambaye alikuwa akisikiliza kesi hiyo.Taarifa kamili kwenye mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive