Kaunti I Shughuli zalemazwa katika kampuni ya kutayarisha pareto kaunti ya Nakuru

  • | KBC Video
    49 views

    Shughuli zililemazwa katika kampuni ya kutayarisha pareto katika kaunti ya Nakuru baada ya zaidi ya wafanyakazi 150 kugoma wakitaka afisa mkuu mtendaji aondoke kwa madai ya ufujaji wa fedha. Taarifa kamili ni katika mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive