Vurumai yashuhudiwa katika makao makuu ya wizara ya afya

  • | K24 Video
    123 views

    Vurumai ilishuhudiwa katika makao makuu ya wizara ya afya wakati kundi la wagonjwa waliokuwa na hasira walivamia chumba cha mikutano, wakilalamikia kukosa kufaidika na mpango wa bima mpya ya afya ya jamii SHA. Wakati huo huo, wizara ya afya ilitoa taarifa kuhusu maendeleo ya mchakato wa usajili katika bima hiyo mpya ya afya ya jamii pamoja na masuala mengine muhimu yanayoathiri sekta ya afya.