Mwenyekiti wa KNCHR asifiwa, aombolezwa kwa ibada ya wafu

  • | Citizen TV
    236 views

    Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu (KNCHR) Roseline Adhiambo Odede amesifiwa kama mtetezi wa haki za binadamu na mtaalamu mashuhuri wa sheria ambaye ameacha mfano wa kuigwa