Mwanajeshi aliyedhaniwa amefariki awasiliana na familia

  • | Citizen TV
    13,987 views

    Familia ya mwanajeshi ambaye video yake ilisambaa mitandaoni akisema yu hai na amezuiliwa na magaidi wa Alshabaab imethibitisha kuwa ndiye miaka tisa baada ya kutoweka akiwa kazini nchini Somalia. Familia ya Abdullahi Issa Ibrahim sasa inamrai rais William Ruto kuwasaidia ili arejeshwe nyumbani salama,

    shabaab