Wanaharakati wataja kikosi maalum kinachowateka watu

  • | Citizen TV
    1,795 views

    Wanaharakati wa haki wameendelea kuelezea wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa visa vya utekaji nyara vinavyowalenga wakenya na hata raia wa mataifa jirani. Wakati wa uzinduzi wa ripoti ya dunia ya 2025, shirika la human rights watch africa limedai kuwa utekaji huu unaendelezwa na kikosi maalum kinachohusishwa na serikali, huku vijaa 83 wakitekwa nyara.