KUPPET yatishia kulemaza shule za upili bila fedha za serikali

  • | Citizen TV
    273 views

    Chama cha walimu wa sekondari KUPPET kimeipa wizara ya elimu siku saba kuhakikisha mgao wa fedha kwa shule unatolewa mara moja la sivyo, watawaagiza walimu wakuu kufunga shule zote. Kwa mujibu wa KUPPET, wakuu wa shule wanahangaika kuendesha shughuli zao bila fedha hizo