Wabunge wameidhinisha uteuzi wa Kagwe, Kabogo na Lee

  • | Citizen TV
    280 views

    Bunge la kitaifa limewaidhinisha mawaziri watatu wateule baada ya kupigwa msasa. Wabunge kwa kauli moja wameamua kuwa Mutahi Kagwe aliyependekezwa kuwa waziri wa kilimo, William Kabogo wa mawasiliano na Lee Kinyanjui wa biashara na viwanda, wanatosha baada ya kamati ya uteuzi kupendekeza kupitishwa kwao.