Egesa FM yashirikiana na taasisi za kiufundi kuhamasisha raia

  • | Citizen TV
    304 views

    Kituo cha redio cha Egesa FM kwa ushirikiano na taasisi za kiufundi eneo la Gusii kilitua kwa kishindo maeneo ya Gesima kaunti ya Nyamira kwa lengo la kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa masomo ya kiufundi.