Mfumo wa SHA warejeshwa baada ya lalama za wakenya

  • | KBC Video
    191 views

    Wizara ya Afya imewahakikishia wakenya kuwa huduma za afya zitatolewa bila hitilafu yoyote katika vituo vyote vya afya kote nchini baada ya baadhi ya wakenya kulalamikia matatizo ya kiufundi yaliyokumba tovuti ya bima ya afya ya jamii-SHA. Akikiri kuwepo kwa hitilafu ya mfumo katika hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta, Waziri wa Afya Deborah Barasa alisema wameweka mfumo mbadala ambao hautakatizwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive