Yanayofanana kati ya kutekwa nyara wa Sarungi na wanaharakati wengine

  • | VOA Swahili
    94 views
    Joshua Lyatuu Mwanafunzi wa Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Siasa na Uongozi wa Umma kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anasema utekaji huo unatia wasiwasi zaidi kutokana na walengwa wa utekaji huo kuwa wakosoaji wa serikali hivyo ameitaka serikali kuruhusu uhuru wa kutoa maoni kwa wananchi wanaohitaji kutoa maoni juu ya mwenendo wa serikali yao. Ripoti ya mwandishi wa VOA, Amri Ramadhani #joshualyatuu #chuokikuu #tanzania #wanaharakati #mariasarungi #utekajinyara #kenya #nairobi #tanzania #voaswahili