Kuapishwa kwa mawaziri wapya. Rais William Ruto aliongoza hafla hiyo katika ikulu ya Nairobi

  • | KBC Video
    698 views

    Rais William Ruto amewataka mawaziri katika baraza lake la mawaziri kuzingatia umoja,na ushirikiano katika utekelezaji wa mipango ya serikali. Akizungumza wakati wa kuapishwa kwa mawaziri watatu wapya wa baraza la mawaziri, rais pia ametoa wito kwao na maafisa wa serikali kujiepusha na ufisadi na ubadhirifu huku wakiwa watekelezaji wema wa mipango ya serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive