Serikali yatenga shilingi milioni 15 kukamilisha mradi wa kingo maalum-Trans nzoia

  • | KBC Video
    8 views

    Serikali imetenga shilingi milioni 15 za ziada kukamilisha ujenzi wa handaki ya kuzuia maji kufurika kando ya mto Sabwani kaunti ya Trans Nzoia ili kukabiliana na mafuriko yanayoshuhudiwa katika eneo hilo. Waziri wa Maji Erick Mugaa amesema serikali tayari imetumia shilingi milioni 40 katika mradi huo. Mugaa ambaye alikagua maendeleo ya mradi wa Namanjala, aliwataka wakazi wa eneo hilo kuulinda dhidi ya uharibifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive