Chama cha KUPPET chashtumu kushambuliwa kwa walimu kutokana na matokeo duni

  • | KBC Video
    8 views

    Chama cha walimu wa shule za upili tawi la kaunti ya Homa Bay kimeshutumu visa vinavyoongezeka vya unyanyasaji wa walimu katika shule zilizopata matokeo duni katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne mwaka 2024 .Haya yanajiri baada ya kisa cha hivi maajuzi ambapo wazazi waliingia kwa fujo katika shule za upili za St. Williams Osodo na Ototo katika kaunti hiyo , na kuwaondoa walimu wakiwashutumu kwa matokeo duni ya shule hizo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive