Tanzania, Kenya na Uganda zashauriwa kujadili usalama wa wananchi wao haraka

  • | VOA Swahili
    18 views
    Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Wakili Anna Henga amesema muendelezo wa matukio ya utekaji unaendelea kuweka hofu kwa wananchi wa Afrika Mashariki kufuatia kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi na kuachiwa nchini Kenya huku akizitaka nchi za Afrika Mashariki kukaa kwa pamoja na kuja na mbinu za kukomesha matukio hayo katika kuelekea katika vipindi vya uchaguzi. #joshualyatuu #chuokikuu #tanzania #wanaharakati #mariasarungi #utekajinyara #kenya #nairobi #tanzania #voaswahili #kituo #hakizabinadamu #annahenga