Kutana na Tobenna, mwanasoka mahiri mwenye miaka mitatu Nigeria

  • | BBC Swahili
    776 views
    @tobenna.uchendu alivutia wengi mwaka 2023 akiwa na mwaka mmoja na miezi tisa baada ya video yake akikimbia kwa ustadi na mpira kusambaa mitandaoni. Kipaji cha Tobenna cha soka katika umri mdogo tayari kimefungua milango, ikiwa ni pamoja na nafasi ya kufanya mazoezi na nyota wa soka wa Nigeria Victor Osimhen. #bbcswahili #nigeria #soka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw