Jaribio la saba la Roketi ya SpaceX Starship.

  • | BBC Swahili
    561 views
    Jaribio la saba la Roketi ya SpaceX Starship lilifanyika tarehe 17 Januari 2025 na kufanikiwa kuruka ila baada ya dakika 8 kilipoteza mawasiliano. Hata hivyo sehemu ya roketi hiyo ilifanikiwa kurudi kwenye eneo la kurushia. kuanzisha. #bbcswahili #starship # spaceX