Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la siku 3 la makatibu wa kaunti laanza Kwale

  • | KBC Video
    106 views
    Duration: 2:10
    WAJIBU WA PAMOJA Kongamano la siku tatu kwa makatibu wa kaunti lilianza katika kaunti ya Kwale huku miito ikitolewa kwao kudumisha uadilifu na utaalamu. Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei akiongoza ufunguzi wa hafla hiyo alikariri kwamba watumishi wa umma wanafaa kudumisha viwango vya juu zaidi vya uadilifu na uwajibikaji licha ya changamoto. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive