Rigathi Gachagua anamshutumu Rais Ruto kuhusu kuchipuka kwa Mungiki

  • | Citizen TV
    22,125 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua sasa anamtaka rais william ruto kukomesha shughuli za kundi ambalo anadai kuwa lile lililoharamishwa la mungiki, akisema rais sasa anatumia kundi hilo kukabiliana naye mlima kenya. Akizungumza alipohudhuria ibada kaunti ya laikipia, gachagua amesema bado anapokea maoni kutoka kwa wadau kabla ya kuunda chama kipya cha mlima kenya, kama emmanuel too anavyoarifu.