Nani kuambatana na Donald Trump White House?

  • | BBC Swahili
    546 views
    Kabla ya kurejea Ikulu ya White House tarehe 20 Januari 2025, Donald Trump amekuwa akiteua timu atakayoambatana nayo katika uongozi wake kwa muhula wa pili kama rais. Je nani atakuwa kwenye timu yake? Baldeen Waliaula anaelezea BBC Swahili itakuletea matangazo ya uapisho wa Donald Trump mubashara kupitia Kurasa zetu za mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook, Youtube na tovuti ya BBCSwahili pamoja na Dira ya Dunia radio na TV Jumatatu Januari 20 kuanzia majira ya saa moja na dakika 45 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. #bbcswahili #marekani #donaldtrump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw