Donald Trump anaapishwa kuwa rais wa 47 wa Marekani

  • | Citizen TV
    3,647 views

    Donald Trump anaapishwa kuwa rais wa 47 wa Marekani wakati wowote kuanzia sasa. Hafla ya kumuapisha inaendelea kwa sasa katika jiji la Washington DC, ikihudhuriwa na miongoni mwa wengine marais wa zamani wa Marekani.