Kizunguzungu cha SHA | Familia ya msichana anayeugua moyo kuchanga Ksh 1.5M

  • | Citizen TV
    349 views

    Jioni hii ya leo, sasa inabainika kuwa familia ya msichana anayehitaji matibabu ya upasuaji wa moyo italazimika kulipa shilingi milioni moja unusu ili kugharamia matibabu yake nchini India. Wizara ya afya sasa ikisema kuwa bima ya SHA itatoa tu shilingi nusu milioni kama kiwango kinachopewa mgonjwa anayetafuta matibabu ng'ambo kila mwaka