Shughuli hospitali ya Coast General zimetatizika baada ya mgomo

  • | Citizen TV
    285 views

    Maafisa kliniki wameanza mgomo wao wa kitaifa hii leo. Katika hospitali kuu ya Makadara kaunti ya Mombasa, wagonjwa walilazimika kutafuta njia mbadala kufuatia mgomo huu. maafisa hawa wanalalamikia miongoni mwa mambo mengi kukosa kujumuishwa kwenye huduma ya bima ya SHA