Watu 9 wafariki kwenye ajali mbili Migori na Siaya

  • | Citizen TV
    1,049 views

    Watu tisa wamefariki kufuatia ajali mbili tofauti za barabarani katika kaunti za Migori na Siaya.