Mwanzilishi wa Mathare Youth Sports Association, MYSA, Robert Donald Munro afariki

  • | Citizen TV
    310 views

    Mwanzilishi wa Mathare Youth Sports Association, MYSA, Robert Donald Munro maarufu kama Bob Munro katika duru za soka aliaga dunia jana usiku mkewe ingrid munro anasema munro alifariki nyumbani kwake mtaani westlands nairobi baada ya kuugua kwa muda mrefu