Mauaji ya mwanaharakati Molo

  • | Citizen TV
    5,029 views

    Familia ya marehemu mwanaharakati Richard Otieno sasa inasema alikuwa akihofia maisha yake baada ya kutishiwa na kufuatwa na watu asiowajua siku chache kabla ya kuuawa kwake. Mkewe Otieno, Margaret Mwihaki pia ameelezea hofu ya kupata haki kufuatia mauaji ya mumewe.