Mgomo wa maafisa kliniki umeendelea kwa siku ya pili hii leo hukuwalalamika bima ya SHA

  • | Citizen TV
    201 views

    Maafisa wa kliniki wanaendelea ma mgomo wao leo ni siku ya pili ya mgomo wa maafisa kliniki nchini shughuli hospitali kadhaa zilitatizika na mgomo walalamika kutojumuishwa kuidhinisha Bima ya Sha