Trump aahidi kurudisha nidhamu Marekani

  • | VOA Swahili
    564 views
    Akizungumza baada ya kula kiapo kama rais wa 47 wa Marekani siku ya Jumatatu Januari 20, 2025, ndani ya ukumbi wa Rutanda katika jengo la bunge, Rais Trump amesema ataleta mapinduzi katika maisha ya Wamarekani. Trump aliyenusurika kutokana na mashataka ya kuondolewa madarakani, mshtaka kadhaa ya uhalifu na majaribio mawili ya kutaka kuuliwa, alipata ushindi kwa muhula mwengine katika White House, amesema atachukua hatua muhimu za kiutendaji mara tu baada ya kuapishwa. -vyanzo mbalimbali #voaswahili #afrika #trump #kiapo #marekani