Mbwembwe za Uchaguzi wa Chadema Tanzania

  • | BBC Swahili
    7,930 views
    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania kinafanya uchaguzi wa viongozi wake wa ngazi ya taifa katika Mkutano Mkuu wa Chama. Nafasi ya Mwenyekiti wa chama inawaniwa na wagombea watatu huku mchuano ukiwa mkali zaidi kati ya Lissu na Mbowe. #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw