"Sijawahi kuwa na ugomvi na Mwenyekiti tumetofautiana kimtazamo tu."

  • | BBC Swahili
    5,252 views
    Makamu mwenyekiti wa chama cha Chadema Tundu Lissu ambaye anawania nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho kwenye uchaguzi amesema kuwa yeye binafsi hajawahi kugombana na mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe " Binafsi sijawahi kugombana na Mbowe kwa miaka 20 tuliyokuwa pamoja kwenye chama, Kauli hiyo inakuja huku Lissu na Mbowe wakitarajiwa kupigiwa kura kwenye uchaguzi wa viongozi wa juu wa chama hicho. #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw