Shule Ya Upili Ya Teremi Yafungwa Kwa Muda Usiojulikana

  • | TV 47
    18 views

    Shule Ya Upili Ya Teremi Yafungwa Kwa Muda Usiojulikana

    Shule Ya Upili Ya Wavulana Ya Teremi iliyoko katika eneo bunge la Kabuchai kwenye Kaunti Ya Bungoma imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi wa shule hiyo kuandamana usiku wa kuamkia leo wakishinikiza mwalimu mkuu wa shule hiyo, Elphus Aliva kupewa uhamisho.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __