Usalama Haiti I Polisi wa Kenya washika doria mji mkuu, Port-au-Prince

  • | KBC Video
    1,066 views

    Kikosi cha hivi punde cha maafisa 217 wa polisi wa Kenya kimeanza kushika doria katika jiji kuu la Port-au-Prince nchini Haiti pamoja na miji mingine ya taifa hilo kama sehemu ya shughuli ya udumishaji amani inayotekelezwa na jamii ya kimataifa. Hatua hiyo ya kuwapeleka maafisa wa usalama nchini humo inafuatia ukosefu wa utulivu katika taifa hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive