Kanja asema yu radhi kufika mahakamani kuelezea kuhusu kutoweka kwa watu watatu Mlolongo

  • | KBC Video
    966 views

    Inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja amesema yuko tayari kufika mbele ya mahakama yoyote akitakiwa kufanya hivyo, kuhusiana na kutoweka kwa watu watatu kutoka Mlolongo. Akiongea huko Diani, kaunti ya Kwale, Kanja alisema yuko tayari kufika binafsi kuelezea ukweli kuhusu watatu hao wanaodaiwa kutekwa nyara na maafisa wa usalama.

    RUN VCR,,,,,,,,

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive