Wahariri wahimizwa kuhakiki taarifa

  • | KBC Video
    6 views

    Baraza la vyombo vya habari humu nchini linapendekeza kubuniwa kwa mtaala wa mafunzo kwa wahariri na manaibu wa wahariri ili kuinua viwango vya taarifa za habari. Afisa mkuu mtendaji wa baraza hilo, David Omwoyo ameeleza kufadhaishwa na kudorora kwa taarifa za habari huku baadhi zikikosa kuafiki viwango vya uadilifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive