Watu watatu wahukumiwa kifungo cha miaka 40 kwa hatia ya kuwauwa wazee wanne Kisii

  • | Citizen TV
    788 views

    Washukiwa 3 waliowateketeza wazee wahukumiwa Kisii washukiwa hao watafungwa miaka 40 kwa kuua wazee 4 washukiwa waliwaua wazee kwa madai ya uchawi mshtakiwa mmoja ahukumiwa kifungo cha miaka 15