Elimu endelevu : Shule za msingi Nyamira zapata sura mpya

  • | KBC Video
    5 views

    Shule ya msingi ya Nyamira katika eneo la Mugirango Magharibi imepigwa jeki baada ya mbunge wa eneo hilo Steve Mogaka kuzindua ujenzi wa jumba la ghorofa nne. Jengo hilo linalotarajiwa kukamilika mwishoni wa mwezi Disemba mwaka huu litagharimu jumla ya shiingi milioni-90

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive