Ruto aendelea kupigia debe mpango wake wa afya, SHA

  • | Citizen TV
    515 views

    Rais William Ruto Ameendelea Kupigia Debe Mpango Wa Serikali Wa Afya Kwa Wote Na Bima Ya Matibabu Ya Sha, Akiwataka Wakenya Kujisajili Kwa Wingi Ili Wapate Huduma Za Afya.