Polisi wazuilia mwanamke anayedaiwa kumdunga kisu mwanamume mmoja Juja

  • | Citizen TV
    762 views

    Polisi katika eneo la juja wanamzuilia mwanamke mmoja anayedaiwa kundunga kisu mwanamume mmoja mara saba na kumuua katika mtaa wa Mastore.