Wakaazi wa Trans Nzoia waitaka WASREB kutoa leseni kwa TRANSWASCO

  • | Citizen TV
    371 views

    Wakazi wa kaunti ya Trans Nzoia wanaitaka Bodi ya Kudhibiti Huduma za Maji Nchini (WASREB) kuharakisha utoaji wa leseni kwa kampuni ya maji ya kaunti hiyo, TRANSWASCO.