Wakaazi wa Sololo kaunti ya Samburu wahangaika kukata kui ya maji

  • | Citizen TV
    157 views

    Licha ya Juhudi za serikali na wadau mbalimbali kukabili uhaba maji katika maeneo kame nchini,Hali hiyo inazidi kuwahangaisha wakazi wa eneo la Sololo huko Moyale Kaunti ya Marsabit. Wakazi wanalalamikia kusafiri mwendo mrefu kutafuta maji kw amatimizi yao ya nyumbani na kwa mifugo wao.