Serikali itajenga soko jipya South B Nairobi kuondoa wachuuzi barabarani

  • | NTV Video
    238 views

    Serikali itajenga soko jipya eneo la South B hapa jijini Nairobi ili kuwaondoa wachuuzi ambao wamekuwa wakifanyia biashara zao kando kando mwa barabara, ujenzi ambao utagharimu zaidi ya shilingi milioni 350.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya