Jaji Chacha Mwita aamua kuwa IG Kanja na Mohamed Amin wa DCI wanafaa kujiwasilisha binafsi

  • | TV 47
    414 views

    Jaji Chacha Mwita aamua kuwa Kanja anafaa kujiwasilisha binafsi.

    Aidha ameamua kuwa Mohamed Amin wa DCI anafaa kujiwasilisha binafsi.

    Wawili hawa walihitajika kutoa maelezo kuhusu visa vya utekaji nyara.

    Wamekuwa wakikosa kufika mahakamani kila walipohitajika.

    Wanafaa kutoa maelezo kuhusu kutekwa nyara kwa wanaume watatu Mlolongo.

    Watatu hao ni Justus Mutumwa, Martin Mwau and Karani Muema.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __