Jaji Chacha Mwita awaita Kanja na Amin kuwasilisha miili ya waliotoweka Mlolongo

  • | NTV Video
    1,462 views

    Jaji Chacha Mwita amewaamrisha inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja na mkuu wa DCI Mohammed Amin, kufika mbele yake Alhamisi ya tarehe 30 Januari na kuwasilisha miili ya watu watatu waliotoweka huko Mlolongo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya