Wakaazi wa Kamulu walamikia kukatiwa umeme na Kenya Power

  • | Citizen TV
    491 views

    Wakazi Wa Kamulu Kaunti Ndogo Ya Kasarani Wamejitokeza Kulaani Kitendo Cha Kampuni Ya Kenya Power Kuondoa Nguzo Za Umeme Na Nyaya Kwa Madai Kuwa Ziliunganishwa Kinyume Cha Sheria.