Douglas Kanja na Amin Mohamed wakosa kufika mahakamani tena

  • | Citizen TV
    2,584 views

    Jaji wa Mahakama Kuu, Chacha Mwita, ametupilia mbali ombi lililowasilishwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja na Mkuu wa DCI Mohammed Amin la kutaka kubadilisha maagizo ya mahakama yaliyowalazimisha kufika mahakamani binafsi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa nyara huko Mlolongo.