Je utawala wa Donald Trump utaiathiri vipi Afrika ?

  • | BBC Swahili
    1,672 views
    Rais wa Marekani Donald Trump ameahidi kutekeleza mabadiliko makubwa katika muhula wake wa pili kama rais wa Marekani. Huku ulimwengu ukijitathmini muhula huu mpya wa Trump utawaathiri vipi, @martha_saranga anadadavua utawala huu mpya utaiathiri vipi bara la Afrika. - - - #trump #trump2024 #trumpvance2024 #afrika